Wafuasi wa Boko Haram wauwa zaidi ya watu 63 Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Wafuasi wa kikundi cha waasi wa Boko Haram waliokuwa na silaha wameua zaidi ya watu 63 kaskazini mwa Nigeria.