Wafuasi wa Aung San Suu Kyi waandaman Myanmar

Your browser doesn’t support HTML5

Mji wa pwani wa Myanmar, Dawei, umeshuhudia waandamanaji wakipita na bendera za chama cha National League for Democracy kilichopinduliwa na jeshi.
Chama hicho kilianzishwa na muasisi mwenza, ambaye hivi sasa yuko kizuizini, Aung San Suu Kyi.