Wafanyakazi waendelea kugoma, washinikiza nyongeza ya mshahara

Your browser doesn’t support HTML5

Maandamano makubwa yaliyoambatana na mgomo wa watumishi wa umma, ambayo hayajawahi kufanyika nchini Afrika Kusini, wakitaka serikali iwaongezee mishahara kutokana na kipindi cha miaka mitatu kupita bila nyongeza yoyote ile.

Wanalalamika kuwa hali ya maisha imeendelea kupanda kama anavyoeleza mmoja wa wafanyakazi wanaoshiriki katika mgomo huo. Sikiliza maelezo kamili kuhusu kiwango ambacho wafanyakazi wanataka kiongezwe katika mshahara wao...