Wafanyakazi wa kujitolea wafika Washington ili kurembesha Ikulu kwa ajili ya siku kuu.

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii kwenye Washington Bureau, tunaangazia tukio la kila mwaka hapa Marekani ambapo maelfu ya watu kutoka kila sehemu ya nchi hujitolea ili kuirembesha Ikulu ya Marekani kwa ajili ya msimu wa Krismasi.