Wafanyabiashara wazawa Kenya waeleza sababu za kupoteza wateja

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara wazawa wa Kenya walalamika kupoteza wateja baada wahamiaji kutoka China kufungu biashara nchini humo. Ungana na mwandishi wetu akielezea kero hili na vipi wajasiriamali wa Kenya wakisaidiwa na kikundi cha kusimamia maslahi yao kinatoa ufafanuzi zaidi kuhusu muelekeo huo ...