Wafanyabiashara waeleza wako hatarini Butembo, DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wafanyabiashara katika miji mbalimbali ya mkoa wa Butembo, nchini DRC wanailalamikia serikali juu ya ukosefu wa usalama unasababisha mashambulizi ya mara kwa mara kutoka makundi ya waasi.