Matukio ya Dunia Wafanyabiashara waeleza athari za COVID-19 kwa biashara 21 Mei, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Wafanyabiashara Kenya walalamika kuingia hasara wakati huu wa Ramadhan kutokana na kufungwa kwa soko la Eastleigh.