Waendesha mashtaka wa utawala uliopita wasema wako hatarini Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Waendesha mashtaka wa utawala uliondolewa madarakani na wapiganaji wa Taliban wana wasiwasi huenda wakalipiziwa kisasi na utawala wa hivi sasa.