Wademokrat na Warepublikan waungana kumfungulia mashtaka Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Wawakilishi kutoka pande mbili za Wademokrat na Warepublikan waungana kumfungulia mashtaka Rais Donald Trump wakimtuhumu kwa uchochezi uliopelekea wafuasi wake kuvamia Bunge la Marekani.