Wadau wadadisi udhibiti wa COVID-19 mashuleni Afrika Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya shule kufunguliwa Afrika Kusini mapema wiki hii, wazazi na wanafunzi wana wasiwasi juu ya ufanisi wa udhibiti wa maambukizi ya COVID-19