Wadau wa afya waukosoa mkutano wa G7

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau wa afya wakosoa mkutano wa nchi zilizo na nguvu zaidi duniani, G7, wakisema suala la chanjo ya COVID-19 lilitolewa maneno mazuri zaidi kuliko vitendo.