Wadau Tanzania waeleza maboresho yahitajika katika sekta ya elimu

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali yaanza kuchukua baadhi ya hatua ikiwemo ukusanyaji wa maoni ya wadau na mapitio ya sera na mitaala ikiwa ni hatua ya kuboresha sekta ya elimu nchini humo.