Wachambuzi wafafanua umuhimu wa mdahalo wa makamu wa rais
Your browser doesn’t support HTML5
Wachambuzi wanaeleza umuhimu wa mdahalo wa makamu wa rais uliowakutanisha Makamu wa Rais Mike Pence na Seneta Kamala Harris uliofanyika Jumatano katika kuangalia mustakbali wa wagombea hao.