Wachambuzi : Hayati Kaunda kuendela kuenziwa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Watu mbalimbali waeleza hayati Kenneth Kaunda ataendelea kuenziwa kwa mchango wake wa ukombozi wa taifa la Zambia na Afrika katika kuendeleza mapambano dhidi ya ukoloni.