Wabunifu waTano Mitindo wa Afrika wang'ara Italia

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunifu wa Tano Mitindo kutoka Afrika wamefungua Wiki ya Fasheni ya Milani katika msimu huu wa Baridi mjini Milan, Italia wakisema ni nafasi ya kipekee kuonyesha ubunifu wao wa mitindo duniani.