Wabunge wa Repablikan wa Marekani walenga kumuondoa kazini waziri wa Usalama wa Ndani

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii tunaangazia wabunge wa Repablikan kwenye baraza la wawakilishi la Marekani ambao Jumatano wamezindua harakati za kumshtaki kumuondoa madarakani afisa wa ngazi ya juu kwenye utawala wa Rais Joe Biden.