Wabunge wa Marekani wasikiliza ushuhuda juu ya mgogoro wa Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Mtafiti katika idara ya utafiti Bunge la Marekani aliambia Bunge ukosefu wa mawasiliano ya intaneti na simu na waandishi wa habari kuzuiliwa kupata taarifa kutoka jimbo la Tigray, Ethiopia umefanya iwe vigumu kufahamu idadi ya watu wasiokuwa na makazi na mahitaji yao.