Waathirika wa manyanyaso ya ngono Ufaransa wajitokeza

Your browser doesn’t support HTML5

Waathirika waeleza jinsi baadhi ya makasisi wa Kanisa Katoliki katika seminary magharibi ya Ufarasa walivyojihusisha na manyanyaso ya ngono dhidi ya watoto waliopewa jukumu la kuwaangalia.