Waathirika wa mafuriko Accra wataka mageuzi kupitia kura zao

Your browser doesn’t support HTML5

Mafuriko katika kitongoji cha Accra yanayo tokea kila mwaka yapelekea wakazi wa eneo hilo kuhofia maisha yao huku wakisema watatumia kura zao kuhakikisha atakayeshinda atatatua tatizo hilo.