Waasi wa M23 wauchukua mji muhimu wa Bunagana nchini DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameuchukua mji muhimu wa Bunagana bila ya mapigano baada ya jeshi la Congo kujiondosha katika eneo hilo kwa hiari yao.

Waandamanaji Uingereza waipinga serikali yao kuwahamisha wahamiaji Rwanda.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari