Waasi wa M23 wasema hawataondoka katika maeneo wanayoyashikilia DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Waasi wa kundi la M23 nchini DRC wamesema hawataondoka katika maeneo yao baada ya viongozi wa kieneo kuweka muda maalum ifikapo leo jioni kuwataka wasitishe mapigano na kuweka silaha chini.

- Taasisi ya kupambana na rushwa nchini Malawi imesema ijumaa imemkamata makamu wa rais wa nchi hiyo kwa tuhuma za rushwa.

-Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea kunoga...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari