Waasi wa M23 wakubali kuondoka maeneo wanayokalia mashariki ya DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la waasi wa M23 limesema limekubali kuachana na maeneo waliokuwa wanayakalia kwa mabavu katika eneo linalomilikiwa na serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari