Waandishi habari waendelea kunyanaswa na vyombo vya usalama Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Visa vya waandishi wa Habari kuchapwa, kukamatwa na kufunguliwa mashtaka vinavyotajwa kuwa na lengo la kuwatisha kufanya kazi yao Uganda, vimeendelea kuripotiwa.
Visa vya waandishi wa Habari kuchapwa, kukamatwa na kufunguliwa mashtaka vinavyotajwa kuwa na lengo la kuwatisha kufanya kazi yao Uganda, vimeendelea kuripotiwa.
Viongozi serikalini wanaendelea kuweka masharti na kupitisha sheria zinazoonekana kubana uhuru wa vyombo vya Habari huku tume ya kusimamia mawasiliano nchini humo ikishutumiwa kwa kuwa msitari wa mbele katika kuminya uhuru wa Habari.