Waandamanaji wavunja masanamu na alama za kibaguzi Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati maandamano ya kulaani kifo cha George Floyd aliyekuwa akishikiliwa na polisi yakipungua kasi bado dhamira ya waandamanji iko palepale kuleta mageuzi ya sheria kandamizi na polisi kuwajibishwa.