Waandamanaji wataka mabadiliko kamili Jeshi la polisi Nigeria

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Nigeria waandamana katika majimbo tofauti wakitaka mageuzi katika jeshi la polisi baada ya kikosi cha kupambana na wizi kudaiwa kuua raia.