Waandamanaji wapambana na polisi mjini Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Darzeni za waandamanaji wenye ghadhabu wamepambana na polisi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Jumatano, wakitaka amri ya kutotoka nje iondolewe na kusitishwa kwa masharti mengine yaliyowekewa na serikali.