Waandamanaji wajitokeza kulaani mauaji ya Mmarekani Mweusi
Your browser doesn’t support HTML5
Mikusanyiko ya watu iliendelea kwa usiku wa tatu wa maandamano katika eneo la Brooklyn Center katika jimbo la Minnesota baada ya polisi kumpiga risasi na kumuua mwanaume mweusi aliposimamishwa akiwa katika gari take.