Waandamanaji wajeruhiwa Eswatini

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa chama cha wafanyakazi cha Eswatini Oscar Nkambule amesema takriban watu 80 wamejeruhiwa Jumatano wakati wa maandamano ya kuitisha demokrasia yanayoendelea nchini humo.