Waandamanaji Sudan wapinga kurudishwa Hamdok madarakani

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wananchi wa Sudan waendelea kuandamana wakipinga makubaliano yaliofikiwa Jumapili yakumrudisha tena madarakani Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyepinduliwa, wakidai amewasaliti...