Waandamanaji Lebanon wapinga uteuzi wa Hariri nafasi ya Waziri Mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

Waandamanaji wanaoipinga serikali ya Lebanon wachoma matayari huku wakipaza sauti zao dhidi ya uteuzi wa Hariri kuwa Waziri Mkuu.