Waandamanaji India waonyesha hasira zao dhidi ya ubakaji
Your browser doesn’t support HTML5
Waandamanaji kutoka vyama mbalimbali vya upinzani nchini India wapambana na polisi, Ijumaa, Octoba 2, wakati hasira dhidi ya kikundi cha wabakaji na kifo cha mwanamke kutoka kabila la chini zikiendelea.