- Wafanyakazi hao wameandamana wakishinikiza serikali kuwaongeza mshahara na kutengeneza mazingira bora zaidi ya kazi.
Waalimu waandamana Uingereza, wadai wamechoshwa hawawezi kuendelea na kazi
Your browser doesn’t support HTML5
Mgomo mkubwa ulifanyika nchini Uingereza ikihusisha makundi mbalimbali ya wafanyakazi wakiwemo watumishi waandamizi wa serikali na wafanyakazi wa huduma ya reli. Waalimu ni mara ya kwanza wamejiunga na mgomo.