Waafrika huko Hollywood na pia namna roboti zinavyokosesha watu kazi.

Your browser doesn’t support HTML5

Katika Washington Bureau wiki hii tunaangalia jinsi waafrika wanavyofanya mafunzo ya kutengeneza filamu huko Hollywood na pia namna ambavyo roboti zinavyoweza kukosesha mamia ya watu kazi.