Vyombo vya habari vina kabiliwa na changamoto kugharimia kazi zao DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wandisha habari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokua na uwezo wa kuripoti na vyombo vya habari kutokua na fedha za kutosha kugharimia kazi zao.
Wandisha habari wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokua na uwezo wa kuripoti na vyombo vya habari kutokua na fedha za kutosha kugharimia kazi zao, anaripoti Austere Malivika.