Volcano yalipuka kisiwa cha Sumatra, Indonesia
Your browser doesn’t support HTML5
Nchini Indonesia mlima Sinabung katika kisiwa cha Sumatra ulilipuka Jumatano, Agosti 19, ukitoa jivu na moshi katika hewa wakati tetemeko la archi likiendelea nchini humo.