Volcano : Wananchi wajihadhari na mlipuko mpya Goma
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imechukua hatua kuwahamisha wananchi kutoka katika maeneo yaliyo hatarini kukumbwa na wimbi la pili la mlipuko wa volcano na matetemeko ya ardhi eneo la Goma.