#voarefugeeday : Siku ya Wakimbizi : Haki zao na majukumu ya mataifa

Your browser doesn’t support HTML5

Kila mwaka, Juni 20 imetengwa kwa ajili ya kuongeza ufahamu juu ya wakimbizi. Siku ya Wakimbizi Duniani iliadhimishwa mwaka 2001 kusheherekea miaka 50 ya Mkataba wa Wakimbizi wa mwaka 1951 wa Umoja wa Mataifa, UN.
Mkataba huo ulikuwa unafafanua nani ni mkimbizi na kuweka haki za watu wanaoomba hifadhi na majukumu ya mataifa yanayotoa hifadhi...