VOA60 Afrika:Kiongozi wa waasi Sudan kusini, Riek Machar hakufika Juba kama ilivyotarajiwa kufuatana na makubaliano ya amani
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa siku mbili mfululizo kiongozi wa waasi sudan kusini, Riek Machar hakufika Juba kama ilivyotarajiwa kufuatana na makubaliano ya amani baina ya serikali na Upinzani; na, Baada ya miaka kadhaa ya misukosuko, sarafu ya Congo Franc, yaanza kushuka tena dhidi ya dola ya Kimarekani.