VOA60 Afrika: Vikosi vya upinzani Sudan kusini vya wasili Juba kuunda serikali ya mpito

Your browser doesn’t support HTML5

Vikosi vya upinzani Sudan kusini vya wasili Juba kuunda serikali ya mpito; Na, Chad inajiandaa kwa uchaguzi wa rais Jumapili, pale rais Idris Deby akitafuta kuongeza mda wa uwongozi wake wa miaka 26.