VOA60 Afrika: Polisi Uganda wamkamata mpinzani mkuu wa kisiasa Kizza Besigye, pale mivutano ya baada ya uchaguzi bado inaendelea

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi Uganda wamkamata mpinzani mkuu wa kisiasa Kizza Besigye, pale mivutano ya baada ya uchaguzi bado inaendelea; Na raia Djibouti wajiandaa kwa uchaguzi Aprili 8, pale rais Ismail Guellah akijaribu kuwania muhula wa 4 madarakani.