VOA60 Afrika: Mamlaka ya Eritrea yaomba hifadhi ya mji wa kale wa Asmara kutoka UNESCO

Your browser doesn’t support HTML5

VOA60 Afrika: Mwanamke mmoja wa Afrika kusini ashtakiwa kwa kumteka nyara mtoto mmoja na kumlea kwa miaka 17; na Mamlaka ya Eritrea inataka hadhi ya hifadhi ya miji ya kale kutoka UNESCO kwa majengo huko Asmara inayojulikana pia kama Rome ya Afrika.