VOA yamhoji mchezaji wa NBA wa zamani Mutombo
Your browser doesn’t support HTML5
Ndani ya Zulia Jekundu: Mchezaji wa siku nyingi wa NBA Dikembe Mutombo ni mmoja wa wawekezaji wakubwa wa NBA Africa iliyopewa jukumu la kusimamia mpira wa kikapu barani Afrika.