VOA yakusogeza karibu na michuano ya Kombe la Dunia Qatar

Your browser doesn’t support HTML5

Mashabiki wa mpira wa soka duniani wamejiandaa na wako tayari kwa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA yaliyopangwa kuanza Novemba 20 na watashuhudia wachezaji soka bora kabisa wakishiriki huko Qatar.

Tunakuomba uwe nasi VOA Swahili wakati tukikuletea habari kama zinavyotokea kuhusu michuano hiyo na uchambuzi wa wachezaji bora.