VOA Mitaani yaangazia maoni juu ya kufanyika sensa DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii ungana na mwandishi wetu nchini DRC akizungumzia hali ya kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kuhusiana na tangazo la serikali la kuendesha sensa kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2023.