#VOA Mitaani : Siri ya kustawi kwa mgahawa wa Kiswahili Colorado

Your browser doesn’t support HTML5

Mfanyabiashara aeleza namna alivyosukumwa kuanzisha mgahawa wa Kiswahili na jinsi unavyoendelea kustawi... Sikiliza mahojiano kamili yaliyofanywa na Mwandishi wa VOA, Mwamoyo Hamza..