VOA MITAANI: Maoni ya wageni Afrika Kusini kuhusu hali ya maisha

Your browser doesn’t support HTML5

Afrika Kusini ni nchi iliyokuwa na raia wengi wa kigeni. Makala ya VOA Mitaani inakuletea maoni ya wageni wanaoishi nchini humo wakieleza mazuri na changamoto wanazopitia...endelea kumsikiliza mwandishi wetu...