VOA Mitaani : Wananchi waeleza hisia zao juu ya tuhuma dhidi ya serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Maoni mbalimbali juu ya shutuma dhidi ya serikali kwa namna inavyo shughulikia janga la COViD-19, kashfa ya ufisadi, ukosefu wa vifaa vya kujilinda, na malalamiko ya madaktari.