Vita vya Sudan vyatimiza mwaka mmoja huku misaada ikihitajika zaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Vita vya Sudan vyafikisha mwaka mmoja huku misaada ya kibinadamu ikizidi kuhitajika.

Kesi ya kwanza ya uhalifu inayomkabili Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump yaanza leo New York.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari