Vita kati ya jeshi la DRC na waasi wa M23 bado vinaendelea, hofu yatanda Goma na Nyiragongo

Your browser doesn’t support HTML5

Upande wa mashariki ya DRC katika mji wa Goma na eneo kubwa la Nyiragongo Kivu kaskazini bado wasiwasi unaendelea kutokana na mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23.

Maoni mseto yaenea baada ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kutangaza Jumanne atagombea urais uchaguzi wa 2024.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari