Virusi vya Delta vyashambulia wengi wasiochanjwa Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Marekani yaripoti zaidi ya vifo 1,000 Jumanne kutokana na COVID-19, huku virusi aina ya Delta vikiendelea kushambuliwa sehemu ambapo kuna kiwango kidogo cha waliochanjwa.